
✅ Original na imara sana.
✅ Uzito wa gramu 480 kwa seti.
✅ Seti moja ina clamps 4 – zinatosha kwa kitanda kimoja kamili
✅ Zinakuja na screws zake pamoja na vifaa vyote vya ufungaji.
✅ Muunganiko imara unaodumu kwa muda mrefu.
✅ Inafaa kwa mafundi seremala, watengenezaji wa samani na wauzaji wa vifaa
📦 Katoni moja ina seti 50.


Leave a Reply