
Drawer Sliders za ubora wa hali ya juu, zenye uimara na uwezo wa kudumu kwa matumizi ya muda mrefu. Zimetengenezwa kwa umakini ili kuhakikisha droo zinafunguka na kufungwa kwa urahisi na kwa utelezi mzuri bila matatizo.
✅ Imara na za kudumu kwa muda mrefu
✅ Ufungukaji na ufungaji laini wa droo
✅ Zinapatikana kwa size mbalimbali kukidhi mahitaji tofauti
✅ Inafaa kwa makabati ya jikoni, ofisi, madroo ya nguo na samani nyingine
📦 Kwa biashara ya jumla, kila katoni moja ina seti 20 za Drawer Sliders.
Chagua Drawer Sliders za TGT Hardware kwa ubora, uimara na utendaji wa kuaminika.


Leave a Reply