
Hydraulic Cabinet Door Hinges za ubora wa juu zinazotumika zaidi kwenye milango ya makabati ya jikoni, ofisi na samani mbalimbali. Hinges hizi zina mfumo wa hydraulic unaosaidia mlango kufungwa taratibu bila kugonga, hivyo kuongeza uimara na kutoa matumizi ya kimya na ya kisasa.
✅ Zimeundwa kwa makabati (kitchen & furniture cabinets)
✅ Kufunga mlango taratibu bila kugonga (soft closing system)
✅ Imara na za kudumu kwa muda mrefu
✅ Hupunguza kelele na kulinda mlango dhidi ya uharibifu
✅ Rahisi kufunga na kutumia kwenye aina mbalimbali za makabati
Chagua Hydraulic Cabinet Door Hinges kutoka TGT Hardware kwa ubora, uimara na muonekano wa kisasa wa samani zako.
📦 Kwa biashara ya jumla na usambazaji, kila katoni moja ina pairs 50 za hinges hizi.


Leave a Reply