Handle Za Kabati

Door Handles za ubora wa juu zenye mitindo mbalimbali ya kisasa inayopendezesha samani zako. Hizi ni handles imara na za kudumu zinazofaa kwa makabati na droo za jikoni, ofisi na fanicha…

Door Handles za ubora wa juu zenye mitindo mbalimbali ya kisasa inayopendezesha samani zako. Hizi ni handles imara na za kudumu zinazofaa kwa makabati na droo za jikoni, ofisi na fanicha nyingine.

Zinapatikana katika designs na rangi tofauti kama vile crystal/glass handlesgolden finishes, pamoja na black & gold decorative designs na nyingine nyingi za kuvutia zinazokidhi ladha tofauti za wateja. Zinapatikana katika size tofauti za 25cm na 15cm. kila katoni moja ina handles 50.

✅ Designs za kisasa na za kuvutia
✅ Zenye ubora wa juu na uimara wa muda mrefu
✅ Zinapatikana kwa rangi na mitindo mbalimbali
✅ Inafaa kwa makabati na droo za aina zote
✅ Hupendezesha muonekano wa fanicha zako

Chagua Cabinet & Drawer Handles kutoka TGT Hardware kwa ubora, uzuri na uimara unaoaminika.

Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *