
Shower Set ya kisasa kabisa kutoka Italy, yenye muundo wa kifahari na ubora wa juu. Shower set hii imetengenezwa kwa (zinc) yenye Imara na ubora wa juu na ina rangi ya black ya kisasa, inayopendezesha muonekano wa bafu lako.
Ni mfumo wa 4-in-1 unaokupa matumizi kamili ya bafuni ikijumuisha:
- Head Shower kubwa ya juu
- Hand Shower ya kushika mkononi
- PVC Pipe ya ubora wa juu
- Modern Pressed Faucet ya kisasa
- Thermometer
✅ Design ya kisasa na ya kifahari (Modern & Luxury style)
✅ Ubora wa juu wa kudumu kwa muda mrefu
✅ Mfumo kamili wa matumizi ya bafuni (4-in-1)
✅ Rahisi kufunga na kutumia
✅ Inafaa kwa nyumba, hoteli na majengo ya kisasa
Tunauza kwa bei ya jumla na rejareja kwa wateja wote wanaotafuta ubora na muonekano wa kisasa.


Leave a Reply