Battery Powered Torch yenye mwanga mkali na uimara wa hali ya juu kwa matumizi ya kila siku. Torch hii hutumia battery mbili na ni rahisi kutumia bila kuhitaji kuchajiwa wala kutumia solar.

✅ Hutumia battery mbili
✅ Mwanga mkali na unaofika mbali
✅ Rahisi kutumia na kubeba
✅ Inafaa kwa matumizi ya nyumbani, biashara na safari
✅ Imara na ya kudumu kwa muda mrefu
✅ Inafanya kazi wakati wowote kwa kubadilisha battery tu

Battery Powered Torch ni chaguo bora kwa wateja wanaotafuta torch rahisi, yenye nguvu na ya kuaminika kwa matumizi mbalimbali ya kila siku.

Tunauza kwa bei za jumla na rejareja.