Pillar Tap

Pillar Tap

Pillar Tap ya kisasa zenye muonekano wa kifahari na ubora wa hali ya juu. Pillar tap hizi zimeundwa kuongeza uzuri wa sinki na sehemu za kunawia huku zikitoa utendaji bora wa muda mrefu. ✅ Muundo wa kisasa na wa kuvutia✅ Inatumika kwa maji ya moto na baridi✅ Ubora wa juu na uimara wa muda mrefu✅ Rahisi […]

Kitchen Faucet

Kitchen Faucets

Kitchen Faucets za aina mbalimbali, zenye designs za kisasa na ubora wa hali ya juu kwa matumizi ya jikoni za kila aina. Tunatoa chaguo tofauti kulingana na mahitaji, matumizi na ladha ya mteja, huku zote zikiwa zimechaguliwa kwa kuzingatia ubora, uimara na utendaji bora. Iwe unatafuta faucet ya matumizi ya kawaida, ya kisasa au yenye huduma […]

Angle Valve

Angle Valve

Angle Valve ya ubora wa hali ya juu, Made in Italy, iliyotengenezwa kwa uimara na utendaji wa kuaminika kwa matumizi ya muda mrefu. Angle valve hii imeundwa kuhimili matumizi ya maji ya moto na baridi, hivyo kuifanya kuwa chaguo bora kwa matumizi mbalimbali ya mabomba nyumbani, hotelini, ofisini na kwenye miradi ya ujenzi. ✅ Made in Italy – […]

Shower Set

Shower Set

Shower Set ya kisasa kabisa kutoka Italy, yenye muundo wa kifahari na ubora wa juu. Shower set hii imetengenezwa kwa (zinc) yenye Imara na ubora wa juu na ina rangi ya black ya kisasa, inayopendezesha muonekano wa bafu lako. Ni mfumo wa 4-in-1 unaokupa matumizi kamili ya bafuni ikijumuisha: ✅ Design ya kisasa na ya kifahari (Modern & Luxury style)✅ […]

Handle Za Kabati

Door Handles za ubora wa juu zenye mitindo mbalimbali ya kisasa inayopendezesha samani zako. Hizi ni handles imara na za kudumu zinazofaa kwa makabati na droo za jikoni, ofisi na fanicha nyingine. Zinapatikana katika designs na rangi tofauti kama vile crystal/glass handles, golden finishes, pamoja na black & gold decorative designs na nyingine nyingi za kuvutia zinazokidhi ladha tofauti za […]

Hydraulic Cabinet Door Hinges

Hydraulic Door Hinges

Hydraulic Cabinet Door Hinges za ubora wa juu zinazotumika zaidi kwenye milango ya makabati ya jikoni, ofisi na samani mbalimbali. Hinges hizi zina mfumo wa hydraulic unaosaidia mlango kufungwa taratibu bila kugonga, hivyo kuongeza uimara na kutoa matumizi ya kimya na ya kisasa. ✅ Zimeundwa kwa makabati (kitchen & furniture cabinets)✅ Kufunga mlango taratibu bila kugonga […]

Draw Sliders

Draw Slider Size Zote

Drawer Sliders za ubora wa hali ya juu, zenye uimara na uwezo wa kudumu kwa matumizi ya muda mrefu. Zimetengenezwa kwa umakini ili kuhakikisha droo zinafunguka na kufungwa kwa urahisi na kwa utelezi mzuri bila matatizo. ✅ Imara na za kudumu kwa muda mrefu✅ Ufungukaji na ufungaji laini wa droo✅ Zinapatikana kwa size mbalimbali kukidhi mahitaji […]

Heavy Duty Bed Clamps Size “5”

Bed Clamp Heavy Duty

✅ Original na imara sana.✅ Uzito wa gramu 480 kwa seti.✅ Seti moja ina clamps 4 – zinatosha kwa kitanda kimoja kamili✅ Zinakuja na screws zake pamoja na vifaa vyote vya ufungaji.✅ Muunganiko imara unaodumu kwa muda mrefu.✅ Inafaa kwa mafundi seremala, watengenezaji wa samani na wauzaji wa vifaa 📦 Katoni moja ina seti 50.