Adjustable Focus Torch

Adjustable Focus Torch

Tuko na Adjustable Focus Torch yenye mwanga mkali na ubora wa hali ya juu kwa matumizi mbalimbali ya kila siku. Torch hii hutumia batteries 3 na ina uwezo wa kurekebisha upana wa mwanga (zoom in & zoom out) kulingana na mahitaji yako. ✅ Hutumia batteries 3✅ Mwanga mkali unaofika umbali mrefu✅ Unaweza kurekebisha upana wa mwanga kwa urahisi✅ Imara […]

Battery Powered Torch

Battery Powered Torch

Battery Powered Torch yenye mwanga mkali na uimara wa hali ya juu kwa matumizi ya kila siku. Torch hii hutumia battery mbili na ni rahisi kutumia bila kuhitaji kuchajiwa wala kutumia solar. ✅ Hutumia battery mbili✅ Mwanga mkali na unaofika mbali✅ Rahisi kutumia na kubeba✅ Inafaa kwa matumizi ya nyumbani, biashara na safari✅ Imara na ya kudumu kwa […]

Solar Rechargeable Torch

Solar Rechargeable Torch

Solar Rechargeable Torch yenye mwanga mkali na uwezo wa kufanya kazi kwa muda mrefu. Torch hii imeundwa kwa matumizi ya nyumbani, safari na maeneo yenye changamoto za umeme. Ina uwezo wa kuchajiwa kwa solar (jua) pamoja na kuchajiwa kwa umeme, hivyo kukupa uhuru wa kuitumia wakati wowote na mahali popote. ✅ Inatumia solar na umeme kuchaji✅ Mwanga mkali na […]