
Kaihong Padlock 70mm yenye ubora wa hali ya juu, iliyoundwa kwa ajili ya usalama wa kuaminika katika matumizi ya nyumbani, biashara na maghala. Kufuli hii ni imara sana, yenye mwili thabiti unaostahimili matumizi ya muda mrefu.
✅ Size 70mm kwa ulinzi wa uhakika
✅ Imara na yenye nguvu kubwa
✅ Inadumu kwa muda mrefu
✅ Inafaa kwa milango, mageti, maghala na maduka
✅ Ina fungus za tofauti, ni ngumu kuchokonoa.
Kaihong Padlock 70mm ni chaguo bora kwa wateja wanaotafuta usalama, uimara na ubora wa hali ya juu kwa mali zao.
Tunauza kwa bei za jumla na rejareja.
