Silicone Sealant
Silicone Sealant

Tunakuletea Neutral Silicone Sealant — bidhaa ya hali ya juu inayofaa kwa matumizi mbalimbali ya ujenzi, ufundi, na ukarabati. Silicone hii ya neutral ni chaguo bora kwa glazing — yaani kuweka na kuziba madirisha na vioo — ikitoa mshikamano imara na unaodumu kwa muda mrefu bila kudhuru nyenzo. Katika ujenzi, inafaa kuziba nyufa, mapengo, na mipaka kati ya nyenzo mbalimbali kama ceramic, Plastic, chuma, na mbao, ikihakikisha kazi yako inakamilika kwa ufanisi na uimara. Ni waterproof kabisa, maana inazuia maji kupenya na kuharibu kazi yako hata katika maeneo yenye unyevu mkubwa kama bafuni, jikoni, na mabomba. Zaidi ya hayo, silicone hii inapendwa sana na mafundi wa magari  na pia na mafundi wa mabomba kwa kuziba miunganiko ya maji kwa usalama na uimara. Bidhaa moja, matumizi mengi — Neutral Silicone Sealant ni lazima iwepo kwenye mkoba wa kila fundi na kwenye kila jengo!

📞 Wasiliana nasi leo: 0749 243 338 | Arusha, Tanzania