
4 minutes quick epoxy adhesive ni gundi nzuri inayounganisha kwa uimara kabisa na kwa haraka, ndani ya dakika nne tu.
Inatumika kuunga:
-Plastics
-Rubber
-Ceramics (Udongo na Mfupa)
-Wood (Mbao)
-Glass (vioo) Bila kuacha ukungu (fog)
-Chuma (Metal)
-Concrete (Cement) N.K
Inapatikana dukani kwetu kwa bei nzuri kabisa yapunguzo kwa jumla na rejareja.
Pia tunatuma mzigo mahali popote ulipo.
